Intro
Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I got love
Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I can’t deny
Willy paul
Bwana mkunaji limemkuta pele (ka kololo)
Michezo ya Selina kuchezea na nywele (ka kololo)
Nandy
Mwenzako mapenzi yamenizidia
Ukiniacha nitakufa nitaning’inia
Kwa yako mapenzi nakunywa bia
Mi nilewe (ka kololo)
Chorus
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Willy paul
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion (ka kololo)
Mama nitek, eeeh
Nitekenye nicheke, eeeh
Unacirculati
Mpaka mapepo zangu zina vaporati
Hapo juu babe vibrati
Mwenzako chini nifanye kama ground shaker (ka kololo)
Nandy
Eeh bwana mkunaji limemkuta pele (ka kololo)
Michezo ya Selina kuchezea na nywele (ka kololo)
Chorus
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Ka lololo!
Willy paul
Mtoto wa Uswahilini yeah
Nipe mapenzi ya kiswazi
Umeiombea, nikakupatia,
Basi mpenzi iwe siri (ka kololo)
Umeiombea, nikakupatia
Basi mpenzi iwe siri
Nandy
Mapigo yatapishana (chonde)
Usije kunatana (chonde)
Tukatoana maaana (chonde)
Yaani wewe (ka kololo)
Chorus
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah (ka kololo)
Willy paul
Wala hunaga uoga uoga
Navyo ndondosha moja moja
Unavyopandaga chuma mboga
Yaani wewe (ka kololo)
Nandy
Mapigo yatapishana (chonde)
Usije kuniachana (chonde)
Tukatoana maaana (chonde)
Yaani wewe (kakololo)
Mapigo yatapishana
Usije kunatana
Tukatoana maaana
Yaani wewe (kakololo)
Ka kololo, ka kololo
Ka kololo, ka kololo
Ka kololo, ka kololo