Rayvanny – Natafuta Kiki lyrics

1399 Views
Loading...

Stanza 1

Nataka nitokee kwenye gazeti, niuze sura

Niseme ninatoka na Jokate,

Kitandani picha na Fedha  Kessy ama Snura

Nilete matata mpaka kwa Grace

Kwenye redio zote mpaka runinga,

Nitangaze kwa kuvimba, kwamba Lulu ana yangu mimba

Au niwatukane wote, wanao imba

Kwa dharau na kuvimba mpaka yule anajiita Simba

Niseme madam Rita katetema akiniona anashindwa hata kuhema

Au Venessa kanena, ananitaka na Jux atatemwa

Nataka nifanye sinema kwa Rosa na Nay si wema

Kiki ipi iko njema? ama niende kwa Sepetu Wema

Chorus

Ati nitoke je, mwenzenu nitoke je

Ati nitoke je, mwenzenu nitoke je

Stanza 2

Aaa aaa eee

Naskia Uwoya mkali, wanasemaga shishi asali

Wolper atakubali, akimwagia Harmo chai

Ninatafakari, kichwani maswali

Nimtongoze Zari, akijua Mondi si hatari

Rose Ndauka, Kajala pia hadi na Salama

Mose Iyobo asije ninunia kwa aunt Lawama

Mkubwa Fela, Tale, Salam leaders, nizushe pesa wamenipiga

Chege na Madi wasije nipiga (iyowe)

Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba

Nitoke Wasafi niende kwa Kiba (yaah)

Chorus

Ati nitoke je?  mwenzenu nitoke je?

Ati nitoke je?  mwenzenu nitoke je?

 Outro

Nataka nifanye masekere,

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

Yaani bongo mzima magerere

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

Nikinukishe kinomanoma

Sekere ooh Sekere

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

Macho kuvimba wataisoma

Sekere ooh Sekere

Sekere ooh sekere

Sekere ooh sekere

 

Find also Rayvanny – Unaibiwa lyrics here:

https://mutaha.com/celebrity-stories/rayvanny-unaibiwa-lyrics/

 

Watch the Official Rayvanny – Natafuta Kiki video here:

https://www.youtube.com/watch?v=mOC3n5TlQH4

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: