Rayvanny – Mbeleko lyrics

938 Views
Loading...

Stanza 1

Mmmh

Alisemanga dunia ina mapambo yake

Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake

Nimezunguka , nimefika kwake

Siwezificha nimeshanaswa kwa pendo lake

Harabaani

Kakuumba kimwana, mwenye sifa ya upole

Ata mama kakusifu sana, kitofauti na wale

 (wajane)

Kule nilizama tafadhali niokoe mama ma unipulize nipoe

Chorus

We ndo my queen baby my only

Sitopenda uende mbali one day

We ndo my queen baby my only

 Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako

(jiachie tu nikubebe)

Naficha mbeleko kwa ajili yako

(jiachie tu nikubebe)

We kama mtoto mi nakubembeleza

 (jiachie tu nikubebe)

Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza

 (jiachie tu nikubebe)

Stanza 2

Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata

Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata

Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

Koleza moto tupike tembele kisamvu cha nazi njegele

Zisikutishe kelele sikwachi

Linda nashamba wasije ngedele, kuku niite kwa muchele

Mi sipigani na wewe manati

Ndio maana  kwako nimezamaa sitaki mi wanitowe mama ma

Unipulize nipoe

Chorus

We ndo my queen baby my only

 Sitopenda uende mbali one day

We ndo my queen baby my only

 Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako

(jiachie tu nikubebe)

Naficha mbeleko kwa ajili yako

 (jiachie tu nikubebe)

We kama mtoto mii nakubembeleza

(jiachie tu nikubebe)

Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza

 (jiachie tu nikubebe)

Naficha mbeleko kwa ajili yako

 (jiachie tu nikubebe)

Naficha mbeleko kwa ajili yako

(jiachie tu nikubebe)

We kama mtoto mii nakubembeleza

(jiachie tu nikubebe)

Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza

(jiachie tu nikubebe   jiachie tu nikubebe   jiachie tu nikubebe)

We kama mtoto mi nakubembeleza

Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza

…Ayo Lizer…

 

Find also Rayvanny – Chombo lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/rayvanny-chombo-lyrics/

 

Watch the Official Rayvanny – Mbeleko video here:

https://www.youtube.com/watch?v=PPT1MgfwArE

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: