Intro
Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Yaani tunazoa zoa
Rayvanny
Mwaga jasho miguu iwake moto
Timua vumbi, timua!
Kisigino kibebwe na ugoko
Timua vumbi, timua!
Ruka ruka tuziamshe popo
Timua vumbi, timua!
Vua shati ukisikia joto
Timua vumbi, timua!
Saa tunakisanua, vumbi!
Tunawachafua, vumbi!
Tunawapa mafua, vumbi!
Vumbi, timua vumbi!
Tunakata funua, vumbi! Wakazingua, vumbi!
Tunawapa mafua, vumbi!
Vumbi, timua vumbi!
Wanatukimbiza Wasafi eeh
Wapo makundi makundi Lakini hawatupati eeh
Tunawaachia vumbi
Chorus
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Diamond platnumz
Oooh kama mashine ya koboa mpunga
Timua vumbi, timua!
Aah Tsunami changanya na kimbunga
Timua vumbi, timua!
Kama gwaride ka la jeshi, timua
Kwa mchanga simiti, timua
Chana jamvi kapeti, timua
Timua vumbi, timua
Timua mchanga
Kama unalicheza vanga
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Timua mchanga Kama unalicheza vanga
Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga
Asa kachili saga, saga saga Kamatia zaga, zaga zaga
Nisugulie gaga, gaga gaga Kinaga ubaga, twende
Timua!
Chorus
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Timua vumbi, timua!
Rayvanny
Mwendo kama farasi Ooh ooh tunawatimua timua!
Kasi kama risasi Ooh ooh tunawatimua timua!
Tuko nduki kibati Ooh ooh tunawatimua timua!
Hawatukamati Ooh ooh tunawatimua timua! Shika!
Diamond platnumz
Hasa kitimue, timu! timu! Yaani chimba, timu timu!
Fukua fukua, timu! timu! Chimba chimba, timu! timu!
Eeeh vidole chepeo, timu! timu! Kiuno mpini, timu! timu!
Fanya kama goleo, timu!
timu! Ifukue kwa chini, timu! timu!