Rayvanny ft Diamond Platnumz – Tetema lyrics

1159 Views
Loading...

Chorus

Aya twende tetema (Ooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (Ooh mama tetema)

Aya twende tetema (Ooh mama tetema)

Shuka chini tetema (Ooh mama tetema)

Stanza 1: Rayvanny

Tetema yaani kama umepigwa shoti

Tetema nipe migandisho ya roboti

Tetema ukutani hadi kwenye kochi

Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga (ooh mama)

Nakapandiza za bukoba (ooh mama)

Nakapadisha bodaboda (ooh mama)

Kakichoka kuchuma mboga (ooh mama)

Aaai mama shigidi aah

Nakufa wooi wikidi aah

Aaai mama shigidi konki

Fire, moto, liquid

Chorus

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Stanza 2: Diamond Platnumz

Tetema!

Yaani kama vile generator (tetema)

Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema)

Mwendo wa kutwanga kupepeta (tetema)

Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza! Wooza! Cheza shogoloza

Kufa chali kama mende

Maria Roza poza tungi limepoza

Twende nikupige nyembe

You make my mind go kolo (kolooo  kolo)

Ukinuna tu mie doro (dorooo   doro)

(Washa) Saa nipe za digidigi

(Washa) Miuno ya giggy giggy

(Washa) Funga kibindo mkwiji kwiji

(Washa) Nikunyonge ka ziggy ziggy

Teeete!

Chorus

(Ooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema  (ooh mama tetema)

Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)

Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Outro

Kichaa kime-kime-kimepanda

Ame wehuka (Kime-kimempanda)

Kapandisha mizuka (Kime-kimempanda)

Ana ruka ruka (Kime-kimempanda)

Kichaa kime-kime-kimempanda

Kapanda juu ya meza (Kime-kimempanda)

Eti anavua shati (Kime-kimempanda)

Kalewa anacheza (kime-kimempanda)

Yaani varangati

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: