Rayvanny – Chombo lyrics

969 Views
Loading...

Stanza 1

Foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja

Ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja

Sponsor, danga nichune komesha viranga

Basi vimba, tamba Buloock! wakikuchamba

Ohh la la laaah

Cheusi mangala otanda

Ohh la la laaah

Tukale sangara wa Mwanza

Ohh la la laaah

Nywele chotara kinanda

Ohh la la laaah

Gheto papara misamba.

Chorus

Chombo chombo chombo

Kanakwenda na fashion

Chombo chombo chombo

Kana ngozi ya lotion

Chombo chombo chombo

Mechi chumbani sebuleni

Chombo chombo chombo

Nitakapeleka ukweni

Stanza 2

Macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo

Pekecha pekecha ulimbi ulimbombo,

Mi ni wako ning’ang’anie kama mbozi na kimondo

Nogesha nogesha pegere na kamongo

Ohh baby beeiby mwenzako ntadead

Hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed beeed

Ohh la la laaah

Cheusi mangala otanda

Ohh la la laaah

Tukale sangara wa Mwanza

Ohh la la laaah

Nywele chotara kinanda

Ohh la la laaah

Gheto papara misamba.

Chorus

Chombo chombo chombo

Kanakwenda na fashion

Chombo chombo chombo

Kana ngozi ya lotion

Chombo chombo chombo

Mechi chumbani sebuleni

Chombo chombo chombo

Nitakapeleka ukweni

 

Find also Rayvanny – Natafuta Kiki lyrics here:

https://mutaha.com/celebrity-stories/rayvanny-natafuta-kiki-lyrics/

 

Watch the Official Rayvanny – Chombo video here:

https://www.youtube.com/watch?v=hY6En4785PE

 

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: