Queen Darleen ft Harmonize – Mbali lyrics

1729 Views
Loading...

QUEEN DARLEEN

Nina macho lakini sioni

Nina masikio ila kwako sisikii

Sauti yako huniita ndotoni

Na nikipapasa sikuoni

Upo mbali baba eeh (ayayayaya)

Uko mbali sana eeh

Unapokosa kupokeaga simu yangu, Hofu juu

Mwili ganzi inauma na roho yangu, Nahisi upo juu

Upo mbali baba eeh (ayayayaya)

Uko mbali sana eeh

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Yasemwayo usiyasikie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

HARMONIZE

Kwanza ungefanya tambiko

Upige goti usali, nirudi salamaaa

Mmmh, ile safari sio kifo

Ivo so usijali, nitarudi mamaaa

Tena punguza kulalamika utanitiaga mikosi

Mwenzako bado mambo hayajajipa ila tu kiume na fosi

Ka kuku nasaka nilete (aiyayayaya)

Nami siku nisimame kiwete (aiyayayaya)

Sichoki naongeza juhudi, Kutwa nipo wima

Vimejaaga makusudi, We niombee uzima

CHORUS

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Yasemwayo usiyasikie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Yasemwayo…)

QUEEN DARLEEN

Kidudu wivu hukaa katikati

Kwenye mapenzi ya dhati

Nafsi tulivu ila moyo wasiwasi

Kifungo kuwacha shati

Hofu walidi likinyauka

Hata kitanda kitolalika

Bora lizidi lisije shuka beiby

Linanikondesha penzi mashaka

Ndo wauma moyo nashika kichwa

Nachoka kulalamika beiby

Unapokosa kupokeaga simu yangu, Hofu juu

Mwili ganzi inauma na roho yangu, Nahisi upo juu

Upo mbali baba eeh (ayayayaya)

Uko mbali sana eeh

CHORUS

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Yasemwayo usiyasikie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

(Kaza moyo univumilie)

Oooh beiby, ooh beiby, oooh beiby

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: