Bridge: Harmonize
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Kama ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Naamini ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Chorus: Harmonize
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyee ( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umerogwa (yatapita ) uwowowooo (yata)
Stanza 1: Professor Jay
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza
Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
Mara ya nne hata kabla yakuanza nikateleza
Mara ya tano nikafeli wakanibeza
Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita
Kwamba maisha ni vita Jay unaweza
Mara ya saba mambo yalijiongeza kila nnapoanguka nainuka najisogeza
Nnapopata kidogo nakiwekeza
Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza
Mara ya nane am the man now I rise up
King ndani ya jungle always keep my head up
Usikate tama ( ongeza juudi tu pambana)
Sitting on the top of the World kama unaweza
Bridge: Harmonize
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Kama ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Naamini ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Chorus: Harmonize
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyee ( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umerogwa (yatapita ) uwowowooo (yata)
Stanza 2: Professor Jay
Najua unapata tabu sana wanakutukana ifikirie kesho yako achana na jana
Najua ata ndugu wa damu wanakukukana
Haya maisha ni vita yapasa kuyapigana
Ujapokea mshahara jikaze bana usilie
Ongeza sana kazi na sala mama ntilie
Maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda
Usisubiri ugeuzwe punda ukabede poda
Niko pamoja nanyi wanangu wa bodaboda
Dua zangu ziko nanyi mama zangu wa mboga mboga
Mnapitia mengi ila mambo hayaendi
I can, I must , I will kama mengi
Fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
Unaweza kua Manji Modewi ama Bakresa
Usikate tamaa (ongeza juhudi tu pambana)
Sitting on the top of the World kama unaweza
Bridge: Harmonize
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Kama ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Ipo siku na muda, silali bado na asoo
Naamini ipo itakuja, ya halali nile kwa jasho
Chorus: Harmonize
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyee ( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umerogwa (yatapita ) uwowowooo (yata)
Outro
You know, no one is born to be successful
No one is born to be a star
Hakuna kinachoshindikana
Believe in yourself!
Believe in yourself!
Believe in yourself!
Watch the Official Professor Jay ft. Harmonize – Yatapita video here:
https://www.youtube.com/watch?v=nfe1SlTRsI0
Find Dully Sykes ft. Harmonize – Kadamshi lyrics here:
https://mutaha.com/entertainment/dully-sykes-ft-harmonize-kadamshi-lyrics/