Navy Kanzo feat. Diamond Platnumz – Katika lyrics

1238 Views
Loading...

Chorus

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Narheel (Navy kenzo)

Nina midadi ka ya rumba

Kibao kata kinyonga

Mfukoni na mavumba

Rungu ndichi linasunta

Yani bo bo bo o

Kananikoshaga roho o o o

Yani nasimama de de de dee

Kakitingisha wo wo wo o

Baby girl dance for me one time (secretoo)

Miono feni kunata( secretoo)

Tena jifunge na ngata (secretoo)

Zile za kibao kata (secretoo)

Baby girl dance for me one time (secretoo)

Miono feni kunata (secretoo)

Tena jifunge na ngata (secretoo)

Lalalalalalaaaaa

Chorus

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Diamond platnumz

Yani katoto kandi kako ndi ndi ndii

Kamekazika kame ngi ngi ngii

Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii

Kana misifa shangi ngi ngii

Nilikavizia kitamboo  aaaee

Loe kamenasa chambo  aaaee

Nkapakia na mgando  aaaee

Kajegeje karambo aaaee

Kana michezo ngomani sindimba lizombee

Nami nampatia za pwani muhogo wa jang’ombe

Yani ee ee ee

Kananikoshaga roho o o o

Waga nasimama de de de dee

Kakitingisha wo wo wo o

Oooh nabembea yani siwezi kutembea

Nchecheme na chechemea  yani hadi na legea

Chorus

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Aika (Navy kenzo)

Maumivu naugulia, mwiba ukizama nahisi mateso

Utamu ng’ang’ania, ndizi kwa nyuma napata mchecheto

Nakuna nazi kwa mkongojo ( aaaee)

Naunga mchuzi wa sotojo ( aaaee)

Uno la rosti rojo rojo  (aaaee)

Mikunjo fulani wa bogojo  (aaaee)

Kibao kata tenteme tenteme

Kilingeni kuzama uchutame

Uwezipata wee mpaka usimame

Haichagui mwembamba mnene

Diamond platnumz

Nikalaze kwa bed kitanda (kwa ghettooo)

Nikachezeshe samba ee ( loketooo)

Na kalivo na body kinanda ee (sepetuoo)

Tunguli zimenibamba  (mobettooo)

Chorus

Katika katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

 

Watch the Official Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz –  Katika video here:

https://www.youtube.com/watch?v=hZVhxedrmvc

Find Diamond Platnumz – Nikuone lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/diamond-platnumz-nikuone-lyrics/

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: