Nadia Mukami ft Masauti – Lola lyrics

1929 Views
Loading...

Nadia

Nashangaa na hizi pesa, Nilijikuta tu kivyangu 

Ati mwanzoni ulinipenda, Akabisha shetani huku kwetu 

Lakini mbona hukuniambia, Ya siri, nijulie mitandaoni

Ukweli ukaukimbia, Ati mhusika ndo shetani

Ama ni kiki unatafutia, Ndo maombi yangu moyoni

Ama ni showbiz na hujaniambia, Nisijitese akilini

Ona tulianza bila mapeni, Na leo tuna magari

Nimekosa nini jameni, Si ulitaka aliye maarufu

Uwape stori magazeti, Matusi pande mbili

Kipenzi cha watu jamani, Walitupenda sote wawili, ila

Chorus

Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola) 

Lola, yamemwagika hayazoleki 

Lola, yamemwagika basi..

Lola, sasa umeniacha na nani?

Lola, rudi kwangu mimi

Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh? 

Lola, rudi kwangu mimi

Masauti

Mimi nimeunguka

Sina hata haja kukutazama kwenye sura

Nilo yafichaa Mwangu moyoni, yote unayajua

Naona aibu  Mpaka kwa marafiki zangu

Imekuwa chungu  Kwa tamaa zangu

Nadia ulinipendaga Na mapenzi yalinoga

Me ndio nilikumwaga

Nakuomba msamaha wangu mama

Basi usiniadhibu Kwa kosa tayari nimekubali

Acha kunihusudu

Kila mahali ni mimi mitandaoni

Kugombana sio suluhisho mama  Aaah, aaah

Tusizidi kuvunja mwiko mama

Wa mapenzi yetu mi na we

Chorus

Lola, sasa unaniacha na nani?

Lola, rudi kwangu mimi

Lola, sasa unaniacha na nani mama yoh? 

Lola, rudi kwangu mimi(mama yoh)

Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola) 

Lola, yamemwagika hayazoleki 

Lola, yamemwagika baba

Masauti

Umefanya pombe kuwa pacha wangu

Kichwa ni mawazo  Kichwani mwangu oooh

Na si unajua, nakupenda wewe iyee

Hayazoleki hayazoleki Wowooooo…

 Nadia, Nadia wewe  Nakupenda oooh… 


Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: