Mbosso – Watakubali lyrics

1316 Views
Loading...

Intro

Maaaaaaaa aaaa

Uwowowowooooo

Mmmmmmh

Maaaaaaaa aaaa

Uwowowowooooo

Stanza  1

Asalala Mungu kaninyima upole, hali yangu majalala

Mwali niliekosa mkole, terminal Mbagala

Ofisi ajira ndole, nawakalisha mafala

Wajinga wakuja Bongo, wageni wa Dar es Salaam

Bridge

Vipi nitakidhi mahitaji yako, Yangu yananishinda

Hali mbaya sina godoro

Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga

Japo mapenzi hayanaga kasoro

Kama una kumbukumbu

Hata baba yako nlishawahi kumkaba

Alilia kwa uchungu na mama yako

Nlipomporazaga

Chorus

Je! Watakubali?

Hivi unadhani

 (Watakubali?)

Wazazi wako

 (Watakubali?)

Me nawe hatulingani

 (Watakubali?)

Hadhi yangu na yako

(Watakubali?)

Hivi unadhani

 (Watakubali?)

Waaaaaaa aaaa

 (Watakubali?)

Shida mama shida

(Watakubali?)

Aaaaaaaaah

Stanza  2

Najua watamani tuoane

Miguu yangu kutwa iko busy

Sitaki ubaki mjane

Kula kwangu hadi nikimbizwe

Niendapo barabarani

Usinisubiri nikikwambia ngoja

Maana si kazi ila vitani

Kufa ni tendo la mara moja

Muda mwingine shati begani

Pekupeku utadhani nimerogwa

Mguu nje mguu ndani

Defender inakubeba kama mzoga

Raha ya mapenzi ushemeji kucheka

Dada na majirani

Na nishafanya kote manjegeka

Hawanipendi mtaani

Bridge

Vipi nitakidhi mahitaji yako, yangu yananishinda

Hali mbaya sina godoro

Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga

Japo mapenzi hayanaga kasoro

Kama una kumbukumbu

Hata baba yako nlishawahi kumkaba

Alilia kwa uchungu na mama yako

Nlipomporazaga

Chorus

Je! Watakubali?

Hivi unadhani

 (Watakubali?)

Wazazi wako

 (Watakubali?)

Me nawe hatulingani

 (Watakubali?)

Hadhi yangu na yako

(Watakubali?)

Hivi unadhani

 (Watakubali?)

Waaaaaaa aaaa

 (Watakubali?)

Shida mama shida

(Watakubali?)

Aaaaaaaaah

Outro

Nikuhonge kisimu cha camera

(Naanzaje?)

Na kila rusha roho madera

(Naanzaje?)

Eeeeh!

Saloon uende kila week

(Naanzaje?)

Weekend twende kwa miziki

(Naanzaje?)

Naaaaanzaje?

 

Find Mbosso – Nadekezwa lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/mbosso-nadekezwa-lyrics/

Watch the Official Mbosso – Watakubali video here:

https://www.youtube.com/watch?v=UWgMAPUxdgo

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: