Mbosso – Tamu lyrics

3314 Views
Loading...

Stanza 1

Kasuku mwenye sauti nyororo

Mususu ya soro ndombolo

 Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tomorro

Mambo iko huku penzi twalila kwa solo

Anipelekesha msobe msobe

Kama fuso lapanda mlima

Na nilivyo fundi kuchelewesha kobe kobe

 Simpi dusko nzima nzima

Chorus

Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho

Yata wa toka mapunye mumwe kwashakoo

Tena wavimbe na wanune ishakua yako

 Itafune imung’unye ifike kunako

Ooh baby Kushika kiuno (tamu)

Niku chumu chumu (tamu)

Niki kukumbatiaa (tamu  tamu kolea)

Penzi letu baby (tamu)

Yani mpaka kisogoni (tamu)

Torororoo (tamu tamu kolea)

Stanza 2

Baby tufanye wazi wazi watuone

Picha weka DP na makopa kopa caption

Baby walokosa kazi wanong’one wapandishe BP

Wapumue kwa oxygen

Waambie vimberu mberu sio penzi la mashaka

 Tushasoma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka

Wambie mimi beberu sio jogo la pasaka

Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka

Steel waya ananisugua (Kwa makovu kovu)

Hanaga mbaya lazizi (Show mbovu mbovu)

Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)

Haijawahi kupwaya yani kiivi

Chorus

Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho

Yata wa toka mapunye muumwe kwashako

Tena wavimbe na wanune ishakua yako

 Itafune imung’unye ifike kunako

Ooh baby Kushika kiuno (tamu)

 Niku chumu chumu (tamu)

Niki kukumbatiaa (tamu tamu kolea)

 Penzi letu baby (tamu)

Yani mpaka kisogoni (tamu)

Torororoo (tamu tamu kolea)

Outro

 Ebo baby mtoto kakua (Kasima dede)

Nimtazame (Kasimama dede)

Mwana anatembea (Kasimama dede)

 Yani tee tee Anataka aking’ate (Kasimama dede)

Kaona kitumbua (Kasimama dede)

Amekua baba (Kasimama dede)

Yaani tee tee

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: