Mbosso – Picha Yake lyrics

1761 Views
Loading...

Stanza 1

Naishi naisha hata sura inakosa nuru

Napukutika mnyonge muoga mi kunguru

Namrizisha nawa wa mwisho kwenye msururu

penzi lakujifisha mbele za watu haliko huru

Sili nikashiba mwanga ndani nje giza

Kanipa ratiba zamu yangu kila jumapili

Moyoni mwiba nahema kwa shida

Penzi msiba linaniliza mimi eee

Chorus

Siku nikifa nizikwe na picha yake ye

(iyelelelileelele)

Na imani nitakutana na yeye

(aaaaaaaa)

Siku nikifa nizikwe na picha yake ye

(iyeee iyeyeee)

Nina imani huko tutakuwa wenyewe

Laaalalalaa

Laaa la la laaa

Uoooooo

Laaa la la laaa

Uuuuuuu

Laaa la la laaa

iye iye iyeeyeye

Bridge

Silali baridi usiku natetemeka

Na mbaya zaidi kutwa naweweseka

Silali baridii usiku natetemeka

Mi najitahidi ila bado nasononeka

Stanza 2

Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri

Sio mimi wala wewe ni Mungu mwenyewe

Akaumba jua na mbingu na mapenzi kama kivuli

Tujifiche mi na wewe sa mbona unaniacha mwenyewe

Wahenga walisha sema

Ukipewa kilema unapewa na mwendo

Ila kwangu sinema yani sisimizi kumuuwa tembo

Oho chanda chema limebaki neno hakuna matendo

Nilipolenga nimetema moyo umekosa malengo mama

Aaaaaaaaa

Chorus

Siku nikifa nizikwe na picha yake ye

(iyelelelileelele)

Na imani nitakutana na yeye

(aaaaaaaa)

Siku nikifa nizikwe na picha yake ye

(iyeee iyeyeee)

Nina imani huko tutakuwa wenyewe

Laaalalalaa

Laaa la la laaa

Uoooooo

Laaa la la laaa

Uuuuuuu

Laaa la la laaa

iye iye iyeeyeye

Bridge

Silali baridi usiku natetemeka

Na mbaya zaidi kutwa naweweseka

Silali baridi usiku natetemeka

Mi najitahidi ila bado nasononeka

 

Find Mbosso – Watakubali lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/mbosso-watakubali-lyrics/

Watch the Official Mbosso – Picha Yake video here:

https://www.youtube.com/watch?v=1lYeLK-w24E

 

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: