Stanza 1
Hujaacha tobo, uliloniachia ni bonge la tundu
Sina nyendo, mama kaninunia nahisi gundu
Nakunywa gongo, najisaidia nguoni aibu
Uuu mwalongo, kitanda changu ndio chooni, wewe ndio sababu
Wewe sababu
Bridge
Butuu mobimba nazolela
Naumia sana nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela mama aaa
Naumia sana nimekuzoea
Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako iyeeeeeeeee
Chorus
Ayayaya ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya ayaya
Stanza 2
Utamu wa nanasi, Ghafla huwa mchungu sana
Ukinywa maji
Baby wangu wasiwasi, Nani kakuficha mama
Rudi basi
Tajiri wa uzuni, machozi kwangu bwerere
Upepo wa firauni, umemkumba ngedere
Mfukoni mbuni, vichenchi chenchi njenjere
Namaliza sabuni, mdomo koma kelele
Bridge
Butuu mobimba nazolela
Naumia sana nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela mama aaa
Naumia sana nimekuzoea
Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako iyeeeeeeeee
Chorus
Ayayaya ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya ayaya
Outro
Moyo una
(malengelenge)
Moyo wangu eee
(malengelenge)
Nahema kwa shida
(malengelenge)
Biashara yangu ya mapenzi
(malengelenge)
Hasara si faida
(malengelenge)
Mazoea
(malengelenge)
Nimekuzoea
(malengelenge)
Aaaaa aaa
(malengelenge)
Nimekuzoea
Find Mbosso – Picha Yake lyrics here:
https://mutaha.com/entertainment/mbosso-picha-yake-lyrics/
Watch the Official Mbosso – Nimekuzoea video here: