Mbosso – Nadekezwa lyrics

2158 Views
Loading...

Intro

Hohohoo hohoo hoho

Hohohoo hohoo hoho

Stanza 1

Salamu ulizonitumia aaa

Zimenifikia aaa

Nipo salama hata usijali

Nalishwa vitamu

Vinono najilia aaa

Biryani ya ngamia aaa

penzi twa dalikana poo kidali

Bridge

Nimekusahau nakumbuka tu lako jina

Kidogo angalu

Ungeng’oa mizizi sio kukatashina

Penzi wakapanda dau

Mjini baba pesa fitina

Mimi ukanidharau

Visenti haba mfuko  umechina

Nando uwezo wangu ulipoishia

(Ningekupa nini tena )

Kula yangu yakupapasia

{hukumeza ukatema}

Mimi sina gari

(Ningekupa nini tena)

Oooooooh

{hukumeza ukatema}

Eeeeeeeh

Chorus

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Stanza 2

Yani mashamushamu, mtoto kanikabiri

Hadi na come come kumi na mbili alfajiri

Na nishamvisha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi

Kanijaza kanichota kanishika pabaya

Nakutadharisha simu za usiku punguza

Unahatarisha penzi langu moto kuunguza

Bridge

Nimekusahau nakumbuka tu lako jina

Kidogo angalu

Ungeng’oa mizizi sio kukatashina

Penzi wakapanda dau

Mjini baba pesa fitina

Mimi ukanidharau

Visenti haba mfuko  umechina

Nando uwezo wangu ulipoishia

(Ningekupa nini tena )

Kula yangu yakupapasia

{hukumeza ukatema}

Mimi sina gari

(Ningekupa nini tena)

Oooooooh

{hukumeza ukatema}

Eeeeeeeh

Chorus

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

Nadeke nadekezwa

 

Find Mbosso – Nipepee (Zima Feni) lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/mbosso-nipepee-zima-feni-lyrics/

Watch Mbosso – Nadekezwa video here:

https://www.youtube.com/watch?v=cKtDAraCO8U

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: