Stanza 1
La la la la la la la la
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawaka waka, aaa aaa
Wanga wape vidonge nimebaini baini
Wanatapa tapa, aaa aaa
Mmmh mi nawe mpaka kiama tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame wima
Kamwe watopata mwanya habithi fitina
Wavige mabiringanya si tutoke dina
Nalegeaa ukinitazama yako macho, yako macho
Nalegeaa ikigusana yangu na yako, yangu na yako
Chorus
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodari
Hodari wa mapenzi
Stanza 2
Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri
Kuniwasha kama pilipili
Fundi haswa amekithiri
Hunipa nilewe
Kwasa kwasa ndani pingili
Za kukata saga ka chili
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe
Nichezeshe kidaru sosi usiku wa mananee (vanga)
Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
Nitishe boda la huko tukakutane (tanga)
Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka
Nalegeaa ukinitazama yako macho, yako macho
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako, yangu na yako
Chorus
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodari
Hodari wa mapenzi
Stanza 3
Wema sepetu hodari [Hodari wa mapenzi]
Uwoya hodari [Hodari wa mapenzi]
Mama Kuki hodari [Hodari wa mapenzi]
Mama Dangote hodari [Hodari wa mapenzi]
Jacky Wolper hodari [Hodari wa mapenzi]
Zari mama Tiffah hodari [Hodari wa mapenzi]
Ohesmakan hodari [Hodari wa mapenzi]
Elizabeth Michael Hodari [Hodari wa mapenzi]
Find also Rayvanny ft Diamond Platnumz – Mwanza lyrics here:
https://mutaha.com/celebrity-stories/rayvanny-ft-diamond-platnumz-mwanza-lyrics/