Masauti – Kiboko lyrics

1597 Views
Loading...

Intro

Masauti, kenyan boy  

Yaaani toto kiboko

Yaaani toto kiboko

Yaaani toto kiboko  

Eeey  

Stanza 1

Ana bonge la nundu

Akitembea mwendo wake aste aste  

Rangi yake ka mzungu (chii)  

Ukimuona lazima yakudondoke mate

Anavyodatisha madonga (uweee)  

Na mabarobaro

Ukijiliza ati unataka pona

Mpaka uhonge majerojero (aaah eeh)

Mtoto high class

Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)

Yaani working class bila kusita anang’oa nanga

Yaani mtoto high class  

Nywele singa singa, kimahaga(ni mkare)  

Yaani working class bila kusita anang’oa nanga(si usaree)

Chorus

Mtoto kiboko  Eeh ahh kiboko  

Huyu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko  

Stanza 2

Nitadunga suti na tai nimfwate nimnong’oneze  

Nimwambie ye ndo nadai ananipa mi mawenge

Toto la kinai, roho body Uswazi kote ye ndo ametawala  

Sioni noma yaani mbona soul body  

Akinipa sikatai mimi nakwala  

Figure ka mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi

Kwa shanga kiunoni na simama Wima, mpaka alfajiri  

Figure ka mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi  

Kwa shanga kiunoni na simama Wima, mpaka alfajiri

Bridge

Mtoto high class

Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)

Yaani working class bila kusita anang’oa nanga

Yaani mtoto high class  

Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)

Yaani working class bila kusita anang’oa nanga (si usaree)

Chorus

Mtoto kiboko  Eeh ahh kiboko

Huyu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko  

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko  

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Outro

Ninavyo katika shiro

Dem ulivyoshona doro

Nikikupata kwa godoro (Hhmm weeh kibokooo..)

Ninavyo katika shiro  

Dem ulivyoshona doro

Nikikupata kwa godoro (Hhmm weeh kibokooo..)

Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko  

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: