Masauti ft Lava lava – Dondosha lyrics

1824 Views
Loading...

Masauti

Ooh beiby ning’ate shingo(shingo)

Tuwache ma love love bite(love bite)

 Wajue sipo single(single)

Wakiniona nawe wazirai(wazirai)

Ukitembea nyuma bingi bingiri

Kitovuni kipini shanga bangiri

Unanipaga mi kiwiliwili

Tukiwa wawili wawili wawili

Miuno kihindi chorichori

Unavyojua kulisaga kachiri

Unanipaga mi kiwiliwili

Tukiwa wawili wawili wawili

Bridge

Waonyeshe unavyo dondosha

Ka portable kiuno mbambucha

Wamerauka mi nikikesha

Walikutaka wakakukosa eeeh eeh eeh

Chorus

Dondosha! Idondoshe iyo! Idondoshe iyo!

Dondosha! Idondoke iyo! Idondoshe! Idondoke iyo!

Dondosha! Idondoshe iyo! Idondoshe iyo!

Dondosha! Idondoke iyo! Idondoshe! Idondoke iyo!

Lava lava

Aya ndondosha, krikiti kata Kiuno binjuka ndo unanikosha

Hapo swadakta, fanya unabinuka

Basi dondosha, si dimba chakacha

Ndumange ghapuka, wali dondosha

Fanya kunichachafya, nizidi wehuka eeh

Nyonga umejaaliwa, kakupa mama

Utamu sukari ya miwa, uko mwanana

Kweli umetunukiwa  We mwana laana

Komesha wanao kufisia he!

Waonyeshe Haya dede dede de(Haii we)

Nyonga nisogeze(Haii we)

Nisebenze benze Haii Wee!

Haya dibebe bebe(Haii we)

Jifanye una dege dege(Haii we)

Ilegeze geze Haii we!

Chorus

Dondosha! Idondoshe iyo! Idondoshe iyo!

Dondosha! Idondoke iyo! Idondoshe! Idondoke iyo!

Dondosha! Idondoshe iyo! Idondoshe iyo!

Dondosha! Idondoke iyo! Idondoshe! Idondoke iyo!

Lava lava

Mi nataka nichungulie Aaah nichungulie 

Inama nichungulie Aaah nichungulie

Inuka kwa juu, tetemesha

Aaah nichungulie  Inama nichungulie Aaah nichungulie

Ama unatwanga unapepeta

Aaah nichungulie  nama nichungulie Aaah nichungulie

Nipe nilambe(wamlambez)

Aaah nichungulie Inama nichungulie Aaah nichungulie

Nipe ninyonye(Wamnyonyez) 


Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: