Stanza 1
Ana shepu Buffalo
Mwendo kama hakanyagi chini (hakanyagi chini)
Njonjo Kangaroo
Kafungasha double cabin (double cabin)
Anaguu la beer (tende)
Kifuani dodo (embe)
Kipotable Dayna Nyange
Akitembea (ndembe ndembe)
Yani kama (mzembe)
Mambo yote Paambe
Bridge
Eeee okota
Usiogope okota
Eeee okota
Inama Inama
Eeee okota
Usiogope okota
Eeee okota
Chorus
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Hook
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo
Stanza 2
Kiuno Sakata
Nizame topeni nisafishe dimbwimbwimbwi
Mtoto Prakata kiuno shanga cheni
Kishundu mbwimbwimbwi
Cheza Nikuonge Verosa (Aaaa Verosa)
Shaku Shaku shogorosa (shogorosa)
Uganda Maria Rosa (Aaaa Rosa)
Lagos dance makosa (dance makosa)
Bridge
Eeee okota
Usiogope okota
Eeee okota
Inama Inama
Eeee okota
Usiogope okota
Eeee okota
Fanya unachutama
Chorus
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Niuwe niuwe
Niuwe mama niuwe
Hook
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo
Kanabinua binu
Kanabinua mgongo