Stanza 1
Kwako tena sitamani, nilishajua nilivaba, huna jipya
Kurudi haiwezekani, nishalioga janaba, nikajisafisha
Mmmh maradhi yangu, yamepata muuguzi
Mola wangu, amenivusha vihunzi
Pole mwenzangu, unokesha kwa waganguzi
Nishapata wangu, anaejua nogesha chuzi
Bridge
Na ananipa mapenzi, na kunijari dear, ya nyuma niyasahau
Na anamaliza tenzi, kutwa kunisifia, kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini
Chorus
(Nang’angana, nang’ang’ania)
Oooh mimi
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Sitaki madanga wa mjini
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Oooh mimi
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Aaah atake cha uvunguni
(Sawaaaaa sawa)
Pingili za sakafuni
(Sawaaaaa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni
(Sawaaaaa sawa)
Tom na Jerry katuni
(Sawaaaaa sawa)
Sawa
Stanza 2
Uliposema wa nini, ye aliwaza atanipata lini
Kendebwe za nini, na vijembe vya chini chini
Yupo makini, penzi kashalibana na pini
Anipenda mimi, hajazoea kuzini zini
Kwanza kakuzidi maarifa, mpira tisini dakika
Nyavu anazitikisa aaah eeeh
Mlangoni mpaka kwa dirisha, pindu ananipindisha
Mtoto ananifikisha aaah eeeh
Bridge
Na ananipa mapenzi, na kunijari dear, ya nyuma niyasahau
Na anamaliza tenzi, kutwa kunisifia, kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini
Chorus
(Nang’angana, nang’ang’ania)
Oooh mimi
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Sitaki madanga wa mjini
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Oooh mimi
(Nang’ang’ana, nang’ang’ania)
Aaah atake cha uvunguni
(Sawaaaaa sawa)
Pingili za sakafuni
(Sawaaaaa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni
(Sawaaaaa sawa)
Tom na Jerry katuni
(Sawaaaaa sawa)
Sawa
Watch the Official Lava lava – Nitake Nini video here:
https://www.youtube.com/watch?v=iYAatHZ5pZI
Find Lava lava – Go Gaga lyrics here: