Lava lava – Habibi lyrics

3152 Views
Loading...

Una rangi ya chotara
Mangamanga asili ya ki zanzibar
Chokoleti colour mixa mtanga tanga
Una ng’ara ng’aring’ari

Ngozi laini kanchori, sambusa bhajia
Upo kama mdoli, yaani kama wa bandia

Eeeh eeh eeeh..

Ukitembea koko(koko)
Huko nyuma baikoko(koko)
Mzigo siwabuku jero

Sotojo la bokoboko(boko)
Laini nyanya ya kopo(kopo)
Yaani bonyero bonyero

Achana naki naki hawana lolote
Watazusha na wajigi jigi penzi watie tope

Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote
Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote

Habibi(Habibi)
Nuru laini kipenda roho(Habibi)
Nyonga mkali haini
Uwooo(Habibi)

Habibi(Habibi)
Nuru laini kipenda roho(Habibi)
Nyonga mkali haini
Uwooo uwooo

Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende
Mahaba yawe full chaji Tukomeshe visadi viwebe

Nikande kande masaji Wabaki kupiga vijembe
Wakailiki magadi Ongeza na peremende

Mchunge shetwani
Mama twende pole pole(Aah)
Kuna Esma, Khan
Akina Juma Lokole(Aah)

Wasikupande kichwani
Wakazua mambo ya uchochole(Aah)
Iwe aibu mtaani
Insta michambo wanichore

Achana naki naki Hawana lolote
Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope
Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote

Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote

Habibi(Habibi)
Nuru laini kipenda roho(Habibi)
Nyonga mkali haini
Uwooo(Habibi)

Habibi(Habibi)
Nuru laini kipenda roho(Habibi)
Nyonga mkali haini
Uwooo uwooo

(Usije kughairi ghairi)
Mi mwingine sina
(Usije kughairi ghairi)
Penzi likachina
(Usije kughairi ghairi)
Ukanitosa mazima
(Usije kughairi ghairi )

Nuru ikazima

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: