Lava lava ft Harmonize – Saula lyrics

1748 Views
Loading...

Lava lava

Mwenzako jicho chongo

Kwa mwingine sioni tende

Umenipa magongo nitembee

Niache kuchechema

Tujiepushe na waongo

Hawakosagi cha kusema

Ulinzi nguo za chuma ndongo

Penzi tuenzeke na mahema

Penzi langu la kizigua

Nakupa taratibu (ayee)

Nami uno nalinengua

Washikwe na aibu

Nadhani hawajajua

We ndo unaniharibu(ayee)

Na mwaka huu bwana wataugua

Wakosee wakuadhibu

Unipe mambo ya pwani

Ati mwenzako nina nenge

Kanga moja begani

Uno ulifunge tenge

Ngubara mguu pwani

Kama unaruka seng’enge

Wanibinyie kwa ndani

Chorus

Nitoke malenge lenge Saula!

Mambo yaweke hadharani Saula!

Kwani unamuogopa nani? Saula!

Uyaweke hadharani Mbali Saula!

Kwani unamuogopa nani? Saula!

Harmonize

Kama character umelamba dume

Wengine gharasa bado Saula!

Tikitaka kinyume nyume

Mashuti kama Ronaldo Saula!

Karona jiti ka saula

Kajikupa kwa kiwanja

Kibichi bichi ka paula

Wakaja la Masanja eeh

 Lava lava

Unipe nisivyopewa

Dini silaha dunia

Nije dem mwenye ningeekewa

Mafisi waje ninunie

Harmonize

Niposti usiogope Sa unifiche Mobetto(Ayee) 

Tena mashosti nawaropokwe

Tujichimbie maghetto(Ayee)

Unipe mambo ya pwani

Ati mwenzako nina nenge

Kanga moja begani

Uno ulifunge tenge

Eeeh, siku ya kufa nyani

Kinyozi kakosa wembe

Kule mtwara nyumbani

Tunaitanga singenge Saula!

Chorus

Mambo yaweke hadharani Saula!

Kwani unamuogopa nani? Saula!

Uyaweke hadharani Mbali Saula!

Kwani unamuogopa nani? Saula!

Outro

Aki binda(Aki binda nkuoe)

Yeah(Aki binda nkuoe)

Fanya kijipinda pinda(Aki binda nkuoe)

Cheza ukiringa ringa(Aki binda nkuoe)

Zungusha nyonga madoido(Aki binda nkuoe)

Kakupa mama(Aki binda nkuoe)

Uno lako firomido(Aki binda nkuoe)

Binua bandama(Aki binda nkuoe) 


Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: