Stanza 1
Niamini eee, mimi mwingine sina darlie, na sikufunzwa mbaya tabia
Mahaba niue, mimi kwako chali chali, ndani donda funza nishaga jifia
Ooooh
Bora kukueleza imenishinda siri, we ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili, chonde usije nieka visangani
Bridge
Nawe chunga kauli zinaponza, zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuli na macho fumba, usije kutamani mabedui mabedui iiiii
Chorus
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Sitaki mwingine you are my only one
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Mi Sitaki mwingine you are my only one
Stanza 2
Natamani makosa yasingekuwepo, tusikosane, ooh baby yoyo
Na samahani ingekuwa kama kichekesho, tuchekeshane, ooh bila choyo
Naweka wazi shahidi moyo wangu, we ndo fundi wa raha zangu
Kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
Mkuna nazi mwali kwa matandu, mi pweza na ngurupandu
Unavyo mix na chachandu sinaga kwere
Bridge
Basi chunga kauli zinaponza, zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuli na macho fumba, usije kutamani mabedui mabedui iiiii
Chorus
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Sitaki mwingine you are my only one
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Mi Sitaki mwingine you are my only one
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Sitaki mwingine you are my only one
(Dede dede)
Simama wakuone you are my number one
(Dede dede)
Mi Sitaki mwingine you are my only one
Watch the Official Lava lava – Dede video here:
https://www.youtube.com/watch?v=FvShlGAk6vk
Find also Lava lava – Utatulia lyrics here: