Harmonize – Sina lyrics

687 Views
Loading...

Stanza  1

Ujana ni maji ya moto, yashaniunguza mi nateketea

Niliwakana watoto, wangeniuguza sikutegemea

Na kama dunia tambala, langu lishatoboka

Sina hata pa kulala, nakesha kwa Kimboka

Wale marafiki niliokula nao, na kunisifu sasa siwaoni

Eti sina kiki siendani nao, kwa kuwa sina kitu mfukoni

Pre-Chorus

Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi

Nikakesha kula bata najisahau na kumwaga radhi

Chorus

(Oooh sina)

Oooh yaani sina

(Oooh sina)

Wa kunipa imani

(Oooh sina)

Oooh sina mama

(Oooh sina)

Yeiyeee

(Oooh sina)

 Hata wa kunifariji

(Oooh sina)

 Kunipa moyo niendelee

(Oooh sina)

Oooh sina mama

(Oooh sina)

Oiyeeeee

Stanza  2

Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia, misemo ya wahenga

Family ndugu lawama sikutaka karibia kwangu nipokee

Ponda mali eti kufa kwaja  heheheeee

Kumbe nivukako mbali navunja daraja

Jua likizama nafsi nanyongea mawazo

Nani nimpe lawama

Pekee yangu naongea hamnazo

Pre-Chorus

Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi

Nikakesha kula bata najisahau na kumwaga radhi

Chorus

(Oooh sina)

Oooh yaani sina

(Oooh sina)

Wa kunipa imani

(Oooh sina)

Oooh sina mama

(Oooh sina)

Yeiyeee

(Oooh sina)

 Hata wa kunifariji

(Oooh sina)

 Kunipa moyo niendelee

(Oooh sina)

Oooh sina mama

(Oooh sina)

Oiyeeeee

Outro

Pesa pesa   pesa Pesa

Pesa Pesa   Pesa pesa

Pesa pesa

Pesa mfano wa poto (Pesa pesa) Zinapepea sare ndo sindano (Pesa pesa)

Chunga yasije majuto (Pesa pesa) Tena tekea igeni mifano

 

Watch the Official Harmonize – Sina video here:

https://www.youtube.com/watch?v=nuLx7gXkt6s

Find Professor Jay ft. Harmonize – Yatapita lyrics here:

https://mutaha.com/entertainment/professor-jay-ft-harmonize-yatapita-lyrics/

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: