I want to keep you
I No go let you go
Nishafunga na zip kwengine nishasema no
Acha nikusifu uzuri wa nyumba choo
Na ulivyo nadhifu sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die I go die I go die my baby my baby
Na ukinipenda nitajidai,
nitajidai my baby oooooooh oòoooh nakoma
za zako kachirii
kachirii ukibinuka binuka eeeeeeeh eeeeh eeèeee
kivumbi na jasho wawili wawili kwenye mashuka mashuka
Asa baby niteke uniteke,
uniteke uniteke nicheke kama mtoto uniteke aaah baby hapo
ndo penye unitek unitekenye chiii ninenepe kama mpoto nooooo
macho yake nungunungu akinitazama
nami nageuka nunungu miba inasimama
macho yake nungunungu akinitazama
nami nageuka nunungu miba inasimama
Eeeeeeh Fanya wazi
unachotaka zidisha kunipenda
ila kuna paparazi na basata tusichapane madenda
oooooooh oooh oooooh
nakoma za zako kachirii kachirii ukibinuka
binuka eeeeeeeh eeeeh kivumbi na
jasho wawili wawil kwenye mashuka mashuka
Asa baby niteke uniteke,
uniteke nicheki kama mtoto uniteke aaah baby shh ahhh
hapo ndo penye uniteke chiii ninenepe kama mpoto nooooo
Asa baby me nataka nikukande
[pinda pinda mugongo pindaa]
yaan panda nikukande
[pindaa pindaa mugongoo pindaa]
unishikirie nami nikugande
[pindaa pinda mugongo]
ebu nipe yaaan nikugande eee
[pindaa pinda mugongo pindaa] nikugandee