Stanza 1
Mmmmh (wasafi records) mmmh
Mjini kipenzi silani shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana aa
Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aa
Ooooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
Chorus
Niambie
Tell me baby love
Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie
Ooh basi niambie(Ooh Basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza Roho
Stanza 2
Sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea ndumba umenipendea rhumba
Vipi nikija kudunda oooh oooh
Usije mgezea punda ukaniachia ngunga
Wanakumendea chunga oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi ni kipi kinafanya Unipende
Chorus
Niambie
(Tell me)
Tell me baby love
(Tell me)
Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
(Tell me)
Niambie
Ooh Basi niambie
(Tell me Ooh Basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea..
kipi mama?
(basi sema )
Umenipendea ingali sina Doo..
Find Harmonize – Happy birthday lyrics here:
https://mutaha.com/celebrity-stories/harmonize-happy-birthday-exact-lyrics/
Watch the official Harmonize – Niambie video here: