Harmonize – Never give up lyrics (Kiswahili version)

2064 Views
Loading...

Let me tell you my story

Nimezaliwa Mtwara Tanzania

Huko kijijini Chitoholi

Hapa mjini nimezamia

Ndoto zilikuwa kucheza boli

Mara ghafla kwa muziki zikahamia

My daddy am sorry  Swala tano kupenda uliposikia

Kama utani si nikaanza kuimba

Mungu si Athumani nikakutana na Simba

Akanipiga company japo kuna walo pinga

Kwamba sina kipaji

 Fitina za ndani ndani mara ‘Harmo’ anavimba Atapendwa na nani?

Mmakonde wa Tandahimba

Nikajipa imani ipo siku nitashinda

Maana Mola ndo mpaji

Eeeh Now I make my paper

And I bless my family Pole walonicheka(nicheka)

Enzi navaanga kanda mbili

So Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona 

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never

Usikate tamaa, hangaika kila kona

 I remember Mama told me my boy

Binadamu hawana wema Watakuchekeaga usoni Ukiwapa kisogo wanakusema

Usihifadhi chuki moyoni, Yalipe mabaya kwa mema

Jifanye hukumbuki huyaoni, Ndo maandiko yanavyosema

Nilimtanguliza Mungu kwa Swala

Mara ghafla kaja mzungu Sarah

Ah, thank you my beiby 

You love me, you support me  I love you too

Shout out to my nigga Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa,

I got love for you Mnyama Mkali,

Budda na Mcha Jambo Waambie tunapita so mikono juu

Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga

Long way to go Ila naiona afadhali, kulala uhakika

Na kula sio ka before

Debe kwa Azizi Ali, Mbaghala, Tandika  Kimara na Kariakoo

Ghetto na kibatari, kiangazi masika Ikaja mvua vyote vyako

Now I make my paper(my paper)

And I bless my family Pole walonicheka(nicheka)

Enzi navaanga kanda mbili

So Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona 

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never

Usikate tamaa, hangaika kila kona


Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: