These are the official lyrics to WCB Wasafi’s Harmonize hit song – Happy Birthday
Stanza 1
Kwanza nina furaha, nitaimba na kucheza
(na kucheza)
Washa mishumaa, weka keki juu ya meza
(juu ya meza)
Ooh ila usinicheke, nimekuletea zawadi, kidogo nlichobarikiwa
Aki mwana mpweke, aje na dumu la maji asije akakumwagia
Aah nakapicha kao nitakoposti, wasokupenda itawacosti,
Aah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema
Chorus
Happy birthday
-happy birthday to you
-happy birthday to you
-happy birthday (ayayaaaa) to you
-happy birthday to you
Stanza 2
Aaah sinywagi pombe leo ntalewa
Niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa
Ah pembe la ng’ombe au malewa
Ila usiforgeti, kusema asante baba na mama
Walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema
Akulinde baba Maulana
Twakuombea na dua
Aaah na kapicha kako ntakaposti, wasokupenda itawacosti,
Aaah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema
Chorus
Happy birthday
-happy birthday to you
-happy birthday to you
-happy birthday (ayayaaaa) to you
-happy birthday to you
Outro
Kata keki kata
-kata
Ooh kata
-kata
Kata
-kata, kata unilishe
Keki ya jina lako
-kata
Walishe na wenzako
-kata
Tuko kwa ajili yako
-kata, kata unilishe
Ooh basi kata
-kata
Oooh kata
-Kata
Kata nikuone
-kata kata unilishe
-kata kata kata kata unilishe
Aaah na kapicha kako nitakaposti