Harmonize ft. Rayvanny – Paranawe lyrics

1439 Views
Loading...

Stanza 1: Harmonize

Kwenye darkness kwenye candle Professional wa ku-handle

The way you take me to the angle wewe ni human being ama angel

If you want my heart  I give you baby carry go

Kidogo changu ndo chako ongeza njonjo madoido (aaaeee)

Pre- chorus

My sheri koko Kwa baridi nipe joto (aaaeee)

Kisha tupate kimoko babu bibi kuwa doto (aaaeee)

My sheri koko kwa baridi nipe joto (aaaeee)

Kisha tupate kimoko babu bibi kuwa doto

Chorus

(Paranawe paranawe)

I want to see you dancing (Paranawe paranawe)

I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

Stanza 2: Rayvanny

Hivi unasokota jicho lako legelege lina dondoka (Nakuuulizaa)

Hivi una ka motor panga boy chenga  J.J Okocha (wanimaliza)

Pretty gal, nasty nitasema sorry nikimbeza

Ata kama nyuma umepigwa pasi sura mbaya dawa yake makeup

Uweke wembe nitakula kiporo

 Nimeshapenda sijui kasoro jirembe uwe mwororo

 Kama huna shepu vaa kigodoro

If you want my heart I give you baby carry go

Kidogo changu ndo chako ongeza njonjo madoido  (aaaeee)

Pre-Chorus

My sheri koko kwa baridi nipe joto (aaaeee)

Nyundo itwange kokoto pekupeku kama mpoto

Chorus

(Paranawe paranawe)

I want to see you dancing (Paranawe paranawe)

 I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

 I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

Stanza  3: Harmonize

Katamu mi nakajuwa uwa

Na kanavyo jishaua uwa

Sinapo na vimaua uwa

Midomo denda ngozi muruwa uwa

Awusha ashawa pauka pakawa inuka pagawa

 Zinduka mandawa pinduka kagawa karuka mabawa

Chorus

 I want to see you dancing (Paranawe paranawe)

 I want to see you dancing (Paranawe paranawe)

 I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

 I like the way you dancing (Paranawe paranawe)

Woiyooo Woiyoyoyo Woiyoooo Woiyoyoyo

Outro

Shake what your mama gave you

Cheki wanaona wivu

Shake what your mama gave you

Cheki wanaona wivu

Shake what your mama gave you

Cheki wanaona wivu

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: