Stanza 1: Harmonize
Kwanza upendo baraka, nikuchunge nitajisumbua, we jichunge tu mwenyewe
Nasikufunzwa talaka, mangapi ulinikosea, ila bado nipo nawe
Ata waniite zoba waseme umeniroga, kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila she is my number moja, wengine watangoja
Aniongezee mapenzi, nizidi kolea
Chorus: Harmonize
Pale ninapokuona (Shulalala Shula)
Yarabi moyo (Shulalala Shula)
Pale ninapokusikia (Shulalala Shula)
Shula wangu (Shulalala Shula)
Stanza 2: Korede Bello
Want you to know that I will be there (I will be there)
Girl I will be there till the end oooh
So don’t let baby
Don’t let nobody come interfere (come interfere)
Let them say what they want we innocent oooh
Shuba bochu beyanju (yelele)
Kuumanyeu (yelele)
Kojubarobu baamaje koyau (yelele)
Girl I promise you forever (ever)
Never leave you never (ever)
Anywhere you go I will go (I will go)
Chorus: Harmonize
Pale ninapomuona (Shulalala Shula)
Jamani moyo wangu (Shulalala Shula)
Pale ninapomusikiaga (Shulalala Shula)
Yarabi moyo wangu (Shulalala Shula)
Yarabi moyo
Stanza 3: Harmonize n Korede Bello
Unizalie kacute kacute kaTiffah Dangote
Nikuvalishe na misuit misuit upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
Wanivumilia, na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sina
Tena nakuapia haki ya Mungu sitakuacha
Outro: Harmonize n Korede Bello
Na Kama ukinipenda sana (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawe (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa na wewe
Nitaringa Baby Ooh (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiii (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiii (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nawe (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Watch the Official Harmonize ft. Koredo Bello video here:
https://www.youtube.com/watch?v=X0lQt3w2Ur4
Find Harmonize – Matatizo lyrics here: