This is the official lyrics of the bongo hit song Kwa ngwaru by Harmonize ft Diamond Platinumz
Verse 1: Harmonize
Hhhhhhmm!!!!
I wish ninge kuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama!
Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
Masanja Joti
usiwe mbali nami
Hhhhhmmmm!!
My darling, I need you love
Uwe nami
haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love
Usiwaamini
ukishawapa wanakwenda
Bridge: Harmonize
Oh, basi jilegeze Nikubebe mgongoni
iyelewi
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni
iyelewi
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni
iyelewi
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyagoni
iyelewi
Chorus: Harmonize
Ooh! baby
Asa dance nikuone
kwa ngwaru
Wa Bami Jo
kwa ngwaru
Ololu Femi
kwa ngwaru
Ooh baby
Asa cheza nikuone
kwa ngwaru
Wa Bami Jo
kwa ngwaru
Basi cheza na mimi
kwa ngwaru
Verse 2: Diamond Platnumz
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini, Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini, kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti, usinijie na kibiriti
hasa wee
Penzi likageuka chuki, nyumba ikawa kibiti
hasa wee
Nipatie vya kitandani, nipe mpaka kwenye kiti
hasa wee
Ili asiniingie shetani, nawe nikaja kukucheati
Bridge: Diamond Platnumz
Ooh basi jilegeze nikubebe mgongoni
iyelewi
Kitandani nikoleze kwa miuno ya kingoni
iyelewi
Kisha nibembeleze nirudishe utotoni
iyelewi
Weka mate niteleze kama nyoka pangoni
iyelewi
Chorus: Diamond Platnumz
Oh baby
Asa dance kidogo
kwa ngwaru
Oh wabanwe choo
kwa ngwaru
Ololu Femi
kwa ngwaru
Chorus: harmonize
Oh, baby
Asa cheza nikuone
kwa ngwaru
Wa bami jo
kwa ngwaru
Basi cheza na mimi
kwa ngwaru
Outro: Diamond Platnumz
Aaagah!
Unataka kucheza chura na ingali umesimama
Ai, inama inama
Asa waonyeshe
Ai, inama inama
Unachezaje
Ai inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Ai inama inama
Ebu waonyeshe
Ai inama inama
Unachotaje
Ai inama inama
Outro: harmonize
Unataka kupiga deki wima umesimama
Ai inama inama
Ebu tuonyeshe
Ai inama inama
Unapiga je
Ai inama inama
Si unataka vya pool table sa mbona unajibana
Ai inama inama
Ebu tuonyeshe
Ai inama inama
Unalengaje
Ai inama inama
Wasafi Record
Outro: Diamond Platnumz
Oya, wanangu wa kigogo
ai inama inama
Nipe za Mose Iyobo
ai inama inama
Vunja vunja kidogo
ai inama inama
Aaah, niongeze mikogo
ai inama inama