Stanza 1
Na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, Oooh zamu yangu itafika
Siwezi kana damu, kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, haya mateso aloniipa
Bridge
Tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeye yeee
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe
Sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameiaga kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Chorus
Atarudii
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudi
Eeee atarudi mama
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea Zawadi
Atarudi
Stanza 2
Siwezi sema sijui tatizo, hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo, mara kumi usingenizalia
Ingali mapenzi pekee, ningesema ni changamoto nijifunze
Ameniacha mpweke, na watoto niwatunze
Ila siwezi laumu, huenda yupo sawa
Kipato changu kigumu, kutwa bumunda na kahawa
Bridge
Tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeye yeee
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe
Sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameiaga kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Chorus
Atarudii
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudi
Eeee atarudi mama
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea Zawadi
Atarudi
Find also Dudu baya ft Rayvanny – Konki lyrics here:
https://mutaha.com/entertainment/dudu-baya-ft-rayvanny-konki-lyrics/
Watch the Official Harmonize – Atarudi video here: