Intro
Aiyoo Aiyoola iyee
Aiyolaa mamaaa
Aiyoo Aiyoola iyee
Stanza 1
Nilifundishwa na bibi kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi na ngumi ila upande wa kanga
Tena mapenzi sio league, nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa graji, tushindane risasi kwa panga
Bridge
Mbona nilikudhamini mengi nikakusevia (aaaahaaaa)
Sitosema hadharani wengi wakayasikia (aaaahaaaa)
Sio wakunipanda kichwani, hukumbuki tulipotokea (aaaahaaaa)
Na kunishusha thamani, kipi nilichokosea (aaaahaaaa)
Ingawa kidogo nilichopata, nikajinyima uridhike
Ila hukujali ukanikatili moyo
Majirani walinicheka ulipofosi nipike, aaah sio siri ilinivunja moyo
Kisirani, ugomvi bila chanzo, ni kweli uko moyoni sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande
Chorus
(Aiyoo Aiyoola iyeee)
Sitofosi unipende (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Ila kishingo upande mama (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Basi bora uende mama (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Stanza 2
Sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo, aaah chaguo la moyo kumbe ulipita njia
Nilivyowanyima ndugu visiri nikakutunzia usijeleta vurugu akili ukaitibua
Najuta kujitia bubu, sitaki vya kusikia kisa pendo unisurubu mengi nishayafumbia
Bridge
Mbona nilikudhamini mengi nikakusevia (aaaahaaaa)
Sitosema hadharani wengi wakayasikia (aaaahaaaa)
Sio wakunipanda kichwani, hukumbuki tulipotokea (aaaahaaaa)
Na kunishusha thamani, kipi nilichokosea (aaaahaaaa)
Kisirani, ugomvi bila chanzo, ni ukweli uko moyoni sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande
Chorus
(Aiyoo Aiyoola iyeee)
Sitofosi unipende (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Ila kishingo upande mama (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Basi bora uende mama (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Ingawa kishingo upande (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Sitofosi unipende (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Ooh ila kishingo upande (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Basi bora uende (Aiyoo Aiyoola iyeee)
Kishingo upande, kishingo upande (aaaahaaaa)
Ana maximizo (aaaahaaaa)
Harmonize beiby Harmonize beiby (aaaahaaaa)
Watch the Official Harmonize -Aiyola video here:
https://www.youtube.com/watch?v=sWPqjpXgl08
Find Harmonize ft. Diamond Platnumz – Bado lyrics here:
https://mutaha.com/entertainment/harmonize-ft-diamond-platnumz-bado-lyrics/
No Responses