Chorus: Harmonize
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Bridge: Harmonize
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Stanza 1: Dully Sykes
Pande za nyumbani, wanajuaga babe ni nani, akipita anatingisha
Wangu toka zamani, kanzu tobo kama Zidani, chenga nyingi ntafungisha
Kanawaka gizani, nakapata mpaka mezani, kote kote napigisha
Baby wata gwani, katoto ketu kapo njiani, uhakika miezi tisa
Rock it!
(Ooooh haheeeey)
Wakiniita buzi nichune, tena ringa kidogo
(Ooooh haheeeey)
Wapiga miluzi wanune, ongeza mbwebwe mikogo
(Ooooh haheeeey)
Wakiniita buzi nichune,tena ringa kidogo
(Ooooh haheeeey)
Wapiga miluzi wanune,ongeza mbwebwe mikogo
Chorus: Harmonize
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Bridge: Harmonize
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Stanza 2: Harmonize n Dully Sykes
Nyuka upendeze, vunja kabati (aaa eee)
Inuka na ucheze, wakuone wachati (aaa eee)
Nlalie kifuani baby deka, usikie moyo wangu vile unavyo teta
Nikikupa mambo flani unacheka, kasauti kachumbani unabweka
Lala kifuani baby deka, usikie moyo wangu vile unavyoteta
Nikikupa mambo flani unacheka, kasauti kachumbani unabweka
So let me say
(Ooooh haheeeey)
Wakiniita buzi nichune, tena ringa kidogo
(Ooooh haheeeey)
Wapiga miluzi wanune, ongeza mbwebwe mikogo
(Ooooh haheeeey)
Wakiniita buzi nichune,tena ringa kidogo
(Ooooh haheeeey)
Wapiga miluzi wanune
Chorus: Harmonize
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Kamependeza kupitiliza, wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza, hadi nang’ata matamshi
Bridge: Harmonize
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Singida Dodoma (ma ma ma ma ma ma)
Mtwara na Kigoma (ma ma ma ma ma ma)
Watch the Official Dully Sykes ft Harmonize- Kadamshi video here:
https://www.youtube.com/watch?v=l6WgpAAdnF0
Find also Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru lyrics here:
https://mutaha.com/entertainment/harmonize-ft-diamond-platinumz-kwa-ngwaru-lyrics/