Stanza 1
Mangapi niliona wala sikujali, nikafumba macho
Na tena yaliyonichoma maumivu makali, manyanyaso
Si mzima wa nafsi, siwezi kudanganya
Uwepo wako, unanifanya nalia
Fanya urudi basi, japo kunitazama
Ooh mi mwenzako, ukweli naumia
Pre-chorus
Kinachiniongeza kizunguzungu, hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba Mungu, wallahi simanzi
Kinachoniongeza mawazo hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone
Chorus
(Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Nikuone mama, uko wapi nikuone(Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Japo nipone Nikuone
Hook
Ona roho yangu inaenda
(Manjegere manjegere manjegere)
Aah roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Nimekukumbuka sana ooh
(Manjegere manjegere manjegere)
Mwenzio roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Hata silali
Stanza 2
Kutwa nzima nawaza kisa nini darli kama sikukupa raha bado sijajua
Namaliza naianza nijapo tafakari njoo uniwashie taa giza kitaniua
Muda mwingine nakesha tu macho usingizi sina
Ikinijiaga tu sura yako huwa nazizizma
Mpaka nashikwa kigagaziko hata maneno kuyaongea
Yote sababu ya masikitiko haki ya Mungu unanionea
Pre-chorus
Kinachiniongeza kizunguzungu, hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba Mungu, wallahi simanzi
Kinachoniongeza mawazo hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone
Chorus
(Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Njoo basi nikuone (Nikuone)
Nikuone mama, uko wapi nikuone(Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Nikuone
Hook
Ona roho yangu inaenda
(Manjegere manjegere manjegere)
Aaah roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Nimekukumbuka sana ooh
(Manjegere manjegere manjegere)
Mwenzio roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Hata silali
Outro
Niliosikia ya leo (makubwa)
Afadhali ya jana (makubwa)
Huaga naona kwa video (makubwa)
Aaah aaah ni mazito mama
Niliosikia ya leo (makubwa)
Afadhali ya jana (makubwa)
Huaga naona kwa video
Hook
Ona roho yangu inaenda
(Manjegere manjegere manjegere)
Aaah roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Nimekukumbuka sana ooh
(Manjegere manjegere manjegere)
Mwenzio roho yangu
(Manjegere manjegere manjegere)
Hata silali
Get the Official Diamond Platnumz – Nikuone audio here:
https://www.youtube.com/watch?v=SpYKeUJU0GM
Find Harmonize – Aiyola lyrics here: