Diamond Platnumz – Kanyaga lyrics

1544 Views
Loading...

Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi

(Kanyaga), wazee wa shombo kudandia
(Kanyaga), klabu kuomba omba bia
(Kanyaga), slay queens vitisho vya bandia
Ukivipa hi ati madai vinavimbia

Kanyaga
Uzushi, kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Woooya kanyaga

Kanyaga kanyaga

Kanyaga  kanyaga

Kanyaga kanyaga

Kanyaga kanyaga

Yii, kanyaga kanyaga
Kama unanicheza zangu
Kanyaga kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga kanyaga
Yeah, kidaku daku
Kanyaga kanyaga
Wajue hizi namba chafu

Ooh yeah eeh
Siku hizi watu wanataka money
So nikimuita aku kosti, kanyaga
Kunitumia mipicha pigo gani
Ati basi day nikuposti

Kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga
Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga

Kama buti la mugambo, kanyaga
Wavuruga mipango, kanyaga
Wazee wa Insta michambo
Ati ‘baby niunge bando’

Kanyaga
Uzushi, kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Woooya kanyaga

Kanyaga kanyaga

Kanyaga  kanyaga

Kanyaga kanyaga

Kanyaga kanyaga

Yii, kanyaga kanyaga
Kama unanicheza zangu
kanyaga kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga kanyaga

Yeah, kidaku daku
Kanyaga kanyaga
Wajue hizi namba chafu

I say Leeooo
Usiku hatulali
Tunakesha kama popo
Leo, Leo
Tena wape na habari
Kama wao pakasi kwako..

Asa timba, timba timba, timbaaa
Wanangu timba, timbaaa
Wao kula kushoto, timbaaa
Kula kulia, timbaaa

I say timba, timba timba, timbaaa
Oyaa wahuni timba, timbaaa
Kama unazikili, timbaaa
Mchaka kabisa akili, timbaaa

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: