Here are the lyrics of Iyena by Diamond Platnumz ft Rayvanny
Verse 1: Diamond Platnumz
Hhhhmm!
Aah! Leo Chereko chereko, mwanenu nimekuwa
Zile kuringa mideko itapungua
Ahsante mama ulinifunza nkajua
Baba kasema kuomba mwiko
Raha ya chumvi kununua
Tena si kwa nazi, Si hirizi za waganga
Kwa baraka za baba na mama, Tuna dua
Waambie paparazzi, pingamizi wenye viranga
Waliosema hayawi hayawi yamekuwa
Chorus : DIamond Platnumz
Ooooooooooh!
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana
Iyena Iyena
iyoyoyoooo
Iyena Iyena
iyeyeaaaaaa
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Verse 2 : Diamond Platnumz
Ooooooooh!
Ndoa baraka, ukipata ushukuru
Maana wanayoililia ni wengi sana
Kwetu talaka, Kuitoa ni kufuru
Nimefunzwa vumilia, kuushinda ujana
Ili kesho mahususi, kusudi wasinong’one
Embu nichumu niringe washushuke
Na hii pete ya harusi, nakuvisha waone
Wakale sumu, wavimbe wapasuke
Bridge : Diamond Platnumz & Rayvanny
Ati nashika nanga, nteke nsichomoke ndani
Anameremeta
Futa namba wablock vimada wa zamani
Anameremeta
Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani
Anameremeta
Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani
Anameremeta
Chorus : DIamond Platnumz
Iyena Iyena
iyoyoyoooooooo
Iyena Iyena
iyeyeyeeeeee
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana
Oh! Kwaheri Baba Mama
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Verse 3 : Rayvanny
Imefika tamati, Tulisubiri kitambo
Leo samaki, Kanasa kwenye chambo
Pongezi kwa kamati, Yanavutia mapambo
Napata picha safi, Litanikoma bundo
Mwanamke usafi, kanga kulisugua
Mume akirudi sharti, Viatu kumvua
Kitandani marashi, Massage kumchua
Kisha anza sayansi, Viuno kutengua
Mambo ya kuzima taa, Si mahaba ni kuwanga
Washa japo ka mshumaa, Mumeo aone shanga
Bridge : Rayvanny
Makeup kinanda, Kaka suit kama mbunge
Anameremeta
Mulo changa muda kujipooza na punje
Anameremeta
Momo ndani Shivo amekuja na Fumbwe
Anameremeta
Kula chanda ukishiba ruksa kafunge
Anameremeta
Chorus : DIamond Platnumz
Iyena Iyena
ayeyeeeeeeeeee
Iyena Iyena
ayoyoyooooooooo
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana
Eh! Kwaheri Baba Mama
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Outro : Diamond Platnumz & Rayvanny
Sa nataka kusasambua
Sasambu
Me nasasambua
Sasambu
Aby dadddy nasasambua mimi
Sasambu
Sasambua, tuone
Mguu moja juu
Sasambu
Usishushe chini
Sasambu
Cheza jitazame
Sasambu
Sasambua, tuone
Aisha kimobitel
Sasambu
Nipe za baloteli
Sasambu
Nyonga kibaiskeli
Sasambu
Sasambua!
Tuone
Akaa kama unashika ukuta
Sasambu
Ifanye unashusha
Sasambu
Taratibu zungusha
Sasambu
Sasambua, tuone.
Sasambu! Sasambu! Sasambu!
Sasambua, tuone
Kama unawasha bajaji
Sasambu
Imwagie na maji
Sasambu
Tuwakomeshe vizazi
Sasambu
Sasambua, tuone.
Aby daddy!