Chorus
Jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Stanza 1: Diamond Platnumz
Asa wee ngoja nijiset
Si walisusa nakula
Fanya wainama kisha rotate
Tuwakunjishe na sura
Leo shimo limetema
Nimeshinda bet (Shinda bet)
Tuwaoneshe sinema wakina fetty
Pre-Chorus: Diamond Platnumz
Asa njo njo (I like it)
Unasachantogo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kono la sojodo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sodojo (I like it)
Chorus
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Stanza 2: Lava lava
Aaa eee nataka kwenye pachupachu (pachupachu)
Kitandani mwendo kwachu kwachu (Kwachu kwachu)
Nichanganye waone niwe fyatu fyatu (Fyatu fyatu)
Hili penzi walikome washakunaku (shaku naku)
Eee baby sa nkololo
Kerewa
Naija soco soco
Ndombolo
Malewa
Haija loko loko
Me kwako shoti ya tekila
Lewa vimbaa (Vimbaa)
nikuchekeshe kama bwakira , mkude simba
Pre-Chorus: Diamond Platnumz
Asa njo njo (I like it)
Unasachantogo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kono la sojodo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sodojo (I like it)
Chorus
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebee
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Ebu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Stanza 3: Mbosso
Ooh Tale nipe chuzi la chuku chuku ninywe Bakuli zimaa (Polee)
Mushedede mutu kutwa zame kwenye kisimaa (Polee)
Fatuma wee kishtobe
Mwite Aisha midundo
Alivyo nyodo nyodo kama kobe
Nimshindue na miuno
Twende kopa kabana
Huku mwanana
Wakugandanaa (I like it)
Nimufatie banana kwakina nana
Tuki kandanaa (I like it)
Baby papasa kichwa jusi kafiri
Nisafishe mataro
Na ulivyo jazwa nyuma fungu mbilii
Nyanya za sasaro
Pre-Chorus: Diamond Platnumz
Asa njo njo (I like it)
Unasachantogo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kono la sojodo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sodojo (I like it)
Chorus
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebee
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujebe bebee
Find Mbosso – Hodari lyrics here: