Aslay – Natamba lyrics

514 Views
Loading...

Stanza 1

Natamba, natamba Aaaa

Kilicho nishawishi upole wako na heshima yako

wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako

Sura yako ya upole inanivutia

Shepu twiga mwenda pole najivunia

Ooh tupeane mapenzi iwachome (Eeeeh)

Nakama namba waisome (Eeeeh)

Hata tukigombana wasione (Eeeeh)

Washike jembe wakalime (Eeeeh)

Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana

Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana

Chorus

Aaaeee

angalia shepu,

Aaaeee

 Ka-Wema Sepetu

Aaaeee

Angalia jicho,

 Aaaeee

Hamissa Mobetto

Aaaeee

 Karangi kake,

Aaaeee

 Elizabeth Michael

Aaaeee

Yani we mrembo,

 Aaaeee

Walahi nachukua jiko

We ndio wangu wa milele

Stanza 2

Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe

Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe

Unanyota ya Adam na Hawa Ooooh, tunavyopendana

Hata wakituchukia ni sawa Ooooh, tuaminie Mama

Wanaona umenipa dawa Ooooh, wanaongea sana

Chunga usije kuota mbawa Ooooh, ukaniachaga dilemma

Katabiri pweza penzi litafika mbali, nacheka kiingereza

Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, mmh jamani

Katabiri pweza penzi litafika mbali, kwakweli hamtoweza

Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali

Basi baby nikumbatie mama

Chorus

Aaaeee

angalia shepu,

Aaaeee

 Ka-Wema Sepetu

Aaaeee

Angalia jicho,

 Aaaeee

Hamissa Mobetto

Aaaeee

 Karangi kake,

Aaaeee

 Elizabeth Michael

Aaaeee

Yani we mrembo,

 Aaaeee

Walahi nachukua jiko

We ndio wangu wa milele

 

Find Maua Sama ft Hanstone – iokote lyrics here:

https://mutaha.com/celebrity-stories/maua-sama-ft-hanstone-iokote-lyrics/

 

To watch the official Natamba video by Aslay, click the link below:

https://www.youtube.com/watch?v=PKOaA9A-Y3A

Loading...

Leave a Reply

%d bloggers like this: