Aslay ft Bahati – Bora Nife lyrics

1855 Views
Loading...

Here are the lyrics to Tanzania – Kenya collabo hit song  Bora Nife by Aslay  ft Bahati

Stanza 1: Aslay

Mwili umejaa vidonda donda, kisa kupenda aaa

Naitwa bwege naishi kwa kuonga onga

Sabuni chooni, namaliza mimi kwanini jamaniiiii

Kama Mwajuma, nimempa simu cha ajabu kanipora

Salima, hataki mapenzi anataka pochi

Magugu Avelina , baada ya kumpa gari eti hanitaki

Nguvu sinaaa  wololoo loooooo

Chorus

Aaaaai, bora nifeeeee

Huenda nitakumbuka pengine, mmmmm

Aaaaaai, bora nifeeeee

Huenda nitakumbuka  pengine

Kwani nasubiri niniiiii,  duniani

Nasubiri niniiiiiii, mmmmmm

Kwani nasubiri niniiiiiii, duniani

Nasubiri niniiiiiiiiiiii


Stanza 2: Bahati

Aaaaai,

Nilimpendanga mwenzangu, akaumiza roho yangu tu

Kaniwazisha niwe padri nihudumie kanisani tu

Aaaa  uuuu  aaaa, nikaogopa mapenzi tu

Tena usinywe na sumu kutoa uhai

ni ya nini?

usijemlaumu aliye kuwacha zamani

zamani

Ukikata na roho utajibu nini siku ya kiama

Kama Diana,

Nimempa simu cha ajabu kanipora

Aaaa Penina

Hataki mapenzi anataka pochi

Mama Ivana

Baada ya kumpa gari eti hanitaki

Nguvu sina  wololo loooooo

Nguvu sina, eeee


Chorus

Aaaaai, bora nifeeeee

Huenda nitakumbuka pengine,

Labda nitakumbuka

Aaaaaai, bora nifeeeee

Wololo wolololooooo

Huenda nitakumbuka  pengine

Usiseme usiseme

nasubiri niniiiii,  duniani

Nasubiri niniiiiiii, mmmmmm

usiseme

Kwani nasubiri niniiiiiii, duniani

Nasubiri niniiiiiiiiiiii

Bridge: Aslay

Japokuwa hujaniwishi, kwenye birthday yangu

Ila usikose mazishi, kwenye msiba wangu wooo, wooo

Japokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu

Ila usikose mazishi siku ya msiba wangu


Loading...

One Response

  1. Bright Ban June 25, 2019

Leave a Reply

%d bloggers like this: