Chorus
Kadogo kanapenda keroro keroro keroro
Kadogo kanapenda keroro
Kembamba kidogo dogo
Kanapenda keroro
Stanza 1
Nikamuuliza anatoka 254
Mombasa kwa wanjanja janja
Ananikosha roho
She must be there
She would be there( kadogo dogo)
Bridge
Mnawakataa machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawakata machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Chorus
Kadogo kanapenda keroro keroro keroro
Kadogo kanapenda keroro
Kembamba kidogo dogo
Kanapenda keroro
Stanza 2
Akaja Bongo akaja akaja Bongo keroro
Akitwika anayumba yumba keroro
Naskia am in love sio kidogo
Anaweza love ananikosha
Kwa vile vile
Anavyodance ananikosha
She must be there
She would be there(kadogo dogo)
Bridge
Mnawakataa machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawakata machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba)
Chorus
Kadogo kanapenda keroro keroro keroro
Kadogo kanapenda keroro
Kembamba kidogo dogo
Kanapenda keroro
Outro
Kadogo kadogo dogo
Kananimaliza kananikosha roho roho
Kadogo kadogo dogo
Kananimaliza nikosha roho
Roho yangu weee